AD 1

AD 1

AD 2

AD 2

Thursday, November 7, 2013

Siasa Tanzania yetu, Chadema, CCM, Jamii yetu, Mwigamba aichafua Chadema

Siasa Tanzania yetu, Chadema, CCM, Jamii yetu, Mwigamba aichafua Chadema
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba, aliyesimamishwa uongozi asema atakichafua chama hicho kama ataendelea kuitwa msaliti.

Wednesday, August 21, 2013

Vituko vya ufisadi, matuko ya kutisha, Wakurugenzi 70 ni mafisadi wa kutisha, Tanzania yetu hiiii!!!


Wakurugenzi 70 vinara mtandao wa ufisadi-vituko vya ufisadi
Vituko vya ufisadi, matuko ya kutisha, Wakurugenzi 70 ni mafisadi wa kutisha, Tanzania yetu hiiii!!!

Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imebaini mtandao wa ufisadi unaoshirikisha wakurugenzi 70 wa halmashauri mbalimbali hapa nchini ambao wanashirikiana na baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Kitengo cha Hazina.Baadhi ya halmashauri hizo ni pamoja na Wilaya ya Monduli, Arusha, Mwanza, Mbeya na Ilala.
P.T

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Rajab Mohamed Mbarouk alisema keshokutwa atataja majina ya wakurugenzi hao ili wananchi waweze kuwafahamu.

Mbarouk alisema kuwa Tanzania Bara ina halmashauri 134, kwa hiyo ina maana zaidi ya nusu ya wakurugenzi wanajihusisha na mambo hayo.

"Baadhi ya wakurugenzi hao walihamishwa kwenye vituo vyao vya kazi kutokana na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali, lakini bado wanajihusisha na mambo haya," alisema Mbarouk.
Alisema kutokana na hali hiyo, kamati hiyo imepanga kukutana kesho na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia ili kuzungumzia suala hilo.
"Kuna zaidi ya wakurugenzi 70 wako kwenye mtandao wa ufisadi kwa kushirikiana na watendaji wa Hazina na Tamisemi, jambo ambalo limesababisha halmashauri zao kupata hati chafu kwa miaka mitano mfululizo,"alisema Mbarouk.

Aliongeza wakurugenzi hao wamekuwa wakishirikiana na wahasibu wao katika kutumia vibaya fedha za Serikali zinazotolewa kwa ajili ya kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika halmashauri zao.
Akitolea mfano wa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Wilson Kabwe ambapo halmashauri yake imefanya vibaya katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), lakini hajachukuliwa hatua na badala yake amekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam.

Vituko vya Zimbabwe, Matuko ya ajabu, Morgan Tvangirai hapa kaliki hapa, akomaa na mugabeVituko vya Zimbabwe, Matuko ya ajabu, Morgan Tvangirai hapa kaliki hapa, akomaa na mugabe

 Vituko vya Zimbabwe, Matuko ya ajabu, Morgan Tvangirai hapa kaliki hapa, akomaa na mugabe

Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tvangirai anakabiliwa na makosa ya kudharau mahakama kufuatia matamshi aliyoyatoa kuhusiana na idara hiyo.

Jaji wa mahakama kuu Chinembiri Bhunu amesema waendesha mashtaka watafahamishwa kuhusu tuhuma hizo. Haya yanajiri wakati chama cha Tsvangirai cha Movement For Democratic Change kimepoteza kesi mbili kulalamikia uchaguzi mkuu wa Julai 31 mwaka huu.

P.T

Vituko vya mastaa, matuko ya ajabu, Diamond atajwa sakata la unga , Ponda balaa tupu gazeti la mtanzania


Vituko vya mastaa, matuko ya ajabu, Diamond atajwa sakata la unga , Ponda balaa tupu gazeti la mtanzania

Vituko na matuko ya leo, ktk gazeti la Tanzania Daima, Chadema wakomaa, warioba apiga debe, ccm hatutakiVituko na matuko ya leo, ktk gazeti la Tanzania Daima, Chadema wakomaa, warioba apiga debe, ccm hatutaki